iqna

IQNA

milad un nabii
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Profesa wa chuo kikuu kutoka Syria amesema kizazi cha vijana katika ulimwengu wa Kiislamu kinakabiliwa na mtanziko wa kiutamaduni na ili kukabiliana na suala hili, kuimarisha ushirikiano na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu ni muhimu.
Habari ID: 3477673    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Vikosi vya utawala katili wa Israel siku ya Jumatano viliwashambulia Wapalestina, wakiwemo wanawake na watoto, ambao walikuwa wakiadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) huko Al Quds (Jerusalem) Mashariki. Mji huo mtakatifu unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477664    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/28

Milad un Nabii
ALGIERS (IQNA) - Waziri Wakfu na Masuala Kidini wa Algeria katika kikao na wasimamizi wa wizara hiyo walijadili kufanya sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Maulidi au Milad un Nabii.
Habari ID: 3477658    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Milad-un-Nabii (Maulid ya Mtume Muhammad-SAW-)
BANGKOK (IQNA) - Waislamu katika Pattani, mji ulioko kusini mwa Thailand, walifanya "Matembezi ya Mahaba kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW)" siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477652    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 11 unaoandaliwa kila mwaka kwa mnasaba wa Maulid ya Mtukufu Mtume (SAW) ulifanyika katika mji wa Adrar nchini Algeria.
Habari ID: 3475913    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji wa Uturuki wa Istanbul imeandaa sherehe za Milad-Un-Nabi za kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475897    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

IQNA-Mabasi kadhaa nchini Uingereza yamepambwa kwa jina la Mtume Muhammad SAW na ujumbe wake wa Amani kwa munasaba wa kuwadia sherehe za Mawlid ya Mtukufu Huyo.
Habari ID: 3470722    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/07